01From your supplier in China to Dar es SalaamKutoka kwa msambazaji wako China hadi Dar es Salaam
Our office in Yiwu, Zhejiang receives goods from your suppliers, checks the cartons against your packing list, consolidates them and loads them for shipment. You do not need to travel to China or deal with the shipping line yourself.Ofisi yetu ya Yiwu, Zhejiang hupokea mizigo kutoka kwa wasambazaji wako, hukagua katoni kulingana na orodha yako ya mzigo, huiunganisha na kuipakia kwa ajili ya safari. Huhitaji kusafiri kwenda China wala kushughulika na kampuni ya meli wewe mwenyewe.
Sea freight from China to Tanzania typically takes 25 to 35 days including port stops along the way. Add time for collection from the supplier before sailing and for customs clearance after arrival when you plan your stock.Usafirishaji wa bahari kutoka China hadi Tanzania kwa kawaida huchukua siku 25 hadi 35 pamoja na kusimama kwenye bandari za njiani. Unapopanga bidhaa zako, ongeza muda wa kukusanya mzigo kwa msambazaji kabla ya meli kuondoka na muda wa forodha baada ya kuwasili.
02Clearance and delivery in TanzaniaForodha na uwasilishaji Tanzania
When the vessel arrives our Dar es Salaam team handles offloading follow-up, the customs declaration and the release of your cargo. Containers move from the port to an inland container depot and loose cargo to our warehouse, ready for collection or delivery.Meli inapowasili, timu yetu ya Dar es Salaam hufuatilia ushushaji, tamko la forodha na utoaji wa mzigo wako. Makontena huhamishwa kutoka bandarini hadi ICD na mizigo midogo hupelekwa godauni letu, tayari kuchukuliwa au kupelekwa kwa mteja.
From Dar es Salaam we deliver by road to Arusha, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Morogoro, Tanga and other towns, so one company looks after the shipment from the supplier's door to yours.Kutoka Dar es Salaam tunasafirisha kwa barabara hadi Arusha, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Morogoro, Tanga na miji mingine, hivyo kampuni moja inasimamia mzigo kuanzia mlangoni kwa msambazaji hadi kwako.
03Track every stageFuatilia kila hatua
Every sea shipment gets a tracking number. Enter it, your container number or your bill of lading number on this website or in the First Vision Cargo app to see whether the cargo is in transit, at the port, in customs clearance, at the warehouse or out for delivery.Kila mzigo wa bahari hupewa namba ya ufuatiliaji. Iandike, au namba ya kontena au ya B/L, kwenye tovuti hii au kwenye app ya First Vision Cargo ili uone kama mzigo upo safarini, bandarini, kwenye forodha, godauni au unaelekea kwako.